1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda yathibitisha mripuko wa ugonjwa wa Ebola

Lubega Emmanuel20 Septemba 2022

Maafisa wa Afya nchini Uganda wamethibitisha kutokea mripuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo. Maafisa hao wamethibitisha kuwa mtu mmoja aliyeaga dunia jana aligunduliwa kuwa na virusi vya Ebola. Wamesema bado haijulikani ni vipi marehemu huyo aliambukizwa na Ebola. Sikiliza ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4H7T8