1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazingira: Ujasiriamali kupitia ukusanyaji taka Kisumu

16 Februari 2024

Ongezeko la idadi ya watu linamaanisha pia ongezeko la takataka zinazotokana na shughuli zinazofanywa na watu hao. Mjini Kisumu, magharibi mwa Kenya, wakaazi wanajikusanya kusaidia kusafisha mitaa yao na wakati huo huo kujipatia riziki kutokana na juhudi zao hizo. Kwenye makala hii ya Mtu na Mazingira, Musa Naviye anaangalia kile kiitwacho "ujasiriamali wa taka".

https://p.dw.com/p/4cTHH