1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtoto mwenye kipaji kikubwa cha kuogelea

28 Januari 2021

Kutana na mtoto huyu Romeo Mihaly mwenye miaka 13. Ameshapata medali 37 alizoshinda nje na ndani ya Afrika Mashariki kwa uhodari wake wa kuogelea. Ana ndoto kubwa, moja wapo ni kuwasaidia watoto wengine wenye kipaji kama chake.

https://p.dw.com/p/3oX7H