Miongoni mwa utakayoyasikia asubuhi hii kwenye Taarifa ya Habari ni pamoja na Rais Vladimir Putin aahidi kujibu vikali mashambulizi ya Ukraine aliyodai yanalenga kuuvuruga uchaguzi nchini mwake: Ikulu ya White House yasema mpango wa kuivamia Rafah unahitaji maandalizi thabiti ya kuwalinda raia: Idadi kubwa ya majina ya wajumbe wa kuunda Baraza la Mpito nchini Haiti yawasilishwa.