1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Matukio ya Kisiasa | 05.11.2009

Mwendesha mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa awasili nchini Kenya

 

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita-ICC, Luis Moreno-Ocampo, amewasili nchini Kenya.

 

Baadaye leo atafanya mazungumzo na viongozi wa Kenya, juu ya hatua za kushtakiwa watuhumiwa wa machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.

Grace Kabogo amezungumza na Hassan Omar Hassan, Naibu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Haki za Binaadamu nchini Kenya na nilianza kumuuliza nini matarajio ya Wakenya kutokana na ziara hii ya Ocampo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Hassan Omar Hassan

Mhariri: M.Abdul-Rahman

 
 

Send us an e-mail »Send »Print »

More on the topic

 
Share this article


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

GLOBAL 3000 - The Globalization Program

We're sorry, due to legal issues this content can not be transmitted as live stream.

If you are inside the United States, it is still possible for you to enjoy DW-TV. For more information, please click here.

Mkutano wa Hali ya Hewa Kopenhagen
Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa 2009 mjini Copenhagen
Miaka 20 ya kuporomoka wa Ukuta
Wananchi wa Berlin washerehekea kuanguka kwa Ukuta

Wafanyakazi
Waliochutama kutoka kushoto: Sekione Kitojo,Halima Nyanza,Josephat Charo na Ramadhani Ali. Waliosimama kutoka Kushoto: Susanne Bergers-Rose,Abdul Mtullya,Saumu Mwasimba,Mohamed Abdulrahman,Othman Miraji, Andrea Schmidt,Thelma Mwadzaya, Mohamed Dahma,Oumilkheir Hamidou,Samia Othman na Nina Markgraf
Kiswahili On Your Desktop via RSS
RSS