1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Umoja wa Kitaifa yaadhimisha Mapinduzi ya 1964

12 Januari 2011

Leo imetimia miaka 47 tangu Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, na maadhimisho ya mwaka huu ni muhimu kutokana na kuwa ya kwanza toka kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani humo kufuatia uchaguzi uliopita.

https://p.dw.com/p/zwd2
Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed SheinPicha: DW

Halima Nyanza amezungumza na mwandishi wetu aliyepo Unguja Mjini, Salma Said, aliyehudhuria sherehe hizo katika uwanja wa Amani, ambaye anazungumzia hali ilivyokuwa uwanjani hapo.